![]() |
NDOA |
![]() |
UKUMBI, ni Vyema ukapambwa kwa rangi zinazofanana na RANGI YA HARUSI..!! |
![]() |
KUMBUKUMBU, Kumbuka kuwapa kazi hii muhimu watu makini sana kwani Tukio hili halitajirudia kamwe..!! |
![]() |
USAFIRI, Hakikisha swala la usafiri limekaa sawa, Msafara wa Maharusi ni vyema ukaongozana na wapambe |
![]() |
CHAKULA, Shirikisha wapishi wanaofanya kazi hiyo kwa umakini |
![]() |
FUNGATE, Ni muhimu kupata mapumziko baada ya shughuri |
No comments:
Post a Comment