Hizi Ndio Design Mpya na Hazina Maurembo sanaaa kwa Wale Wanaopenda Simple na Unique
Hapo Akionesha Nakshi ya Gauni Lake Kwa Nyuma.
Gauni Hili Sehemu kubwa ni Lace na inakukaa sawa na mwili wako .......Hatariiiiiii
Hii pia ni Design Mpya ni Nzuriiiiiiiiiiii
Amenogaaa mnoooo unakosaje Kujua Gauni gani utavaa na madesigner wanatutolea vitu vizuri Hivi
Yaani LACE ndio Habari ya mjini
Amazing..........
More Design tushindwe vip kunoga kwenye Harusi zetu Wapendwa
LACE Bado inakimbiza dada amependeza mnoooooo
Ni zaidi ya WOOTE Daaah Haya Magauni ni Mazuri sana
MPENDWA usiache Kupendeza siku ya Harusi yako Maana Haitojirudia Kamwe. Karibu Uone na UJIFUNZE Kila Kinachohusiana na Harusi Hapa Kwetu .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment